Michezo

Mshambuliaji aliyeiua Yanga akabidhiwa tuzo leo

Hatimaye baada ya kuibuka mchezaji bora wa mwezi Disemba katika msimu wa mwaka 2017/2018, mshambuliaji wa klabu ya Mbao FC ya Mwanza, Habibu Kiyombo amekabidhiwa tuzo yake hiyo leo (Ijumaa).

Kiyombo amepokea tuzo hiyo kabla ya muda mfupi kabla ya kuanza kwa mchezo wao na Ruvu Shooting unaochewa katika uwanja wa Mabatini mkoani Pwani.

Mpaka sasa kabla ya mchezo huo na Ruvu, Kiyombo alikuwa ameshafunga mabao saba katika ligi hiyo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents