Habari

Mtangazaji wa Radio azimia akiwa katikati ya kipindi cha jioni!

Mtangazaji wa kituo cha ONE FM cha nchini Kenya (Radio ambayo anafanya kazi Nonini) anayefahamika kwa jina la Tina Kaggia jana (July 10) alizimia ghafla katikati ya kipindi chake cha jioni (drive show), hali iliyosababisha wafanyakazi wenzake wampeleke nyumbani kabla ya kipindi kuisha kwa kile ambacho Tina alidai kuwa ni kutokana na upungufu mkubwa wa maji mwilini au ‘food poisoning’.

Tina-Kaggia2

Tina ambaye inasemekana ni moja wa watangazaji bora wa kituo hicho, na kipindi chake ni kati ya vipindi bora vya jioni (drive shows) nchini Kenya (kwa mujibu wa NIAJE), ameongea na mtandao wa NIAJE na kuwaambia fans wake kuwa sasa yuko sawa na halikuwa tatizo kubwa na anategemea kuendelea na kazi zake leo kama kawaida.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents