Mtibwa Sugar yang’ang’ana na vijana wa Serengeti Boys

Mabingwa wapya wa michuano ya Kombe la Shirikisho la Azam klabu ya Mtibwa Sugar imewaongezea kandarasi ya miaka miwili wachezaji wake Kibwana Shomari na Dickson Job ya kuendelea kuitumikia timu hiyo.


Kibwana na Dickson Job ni wahezaji wa timu ya taifa ya vijana ya Serengeti Boys ambao wanaitumikia klabu hiyo yenye utajiri wa vipaji vya vijana wadogo.

Mtibwa Sugar imewaongezea kandarasi ya miaka miwili vijana hao ikiwa na leongo la kuendelea kuimarisha kikosi chake kwaajili ya msimu mpya wa ligi kuu soka Tanzania Bara pamoja na michuano ya kimataifa ya Shirikisho.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW