Muziki
Music: Chris Brown ft. Nas – Die Young
Chris Brown ameachia wimbo wake ‘Die Young’ aliomshirikisha rapper Nas. Wimbo huo ameuachia kama heshima kwa Chinx aliyeuliwa kwa kupigwa risasi miaka mitatu iliyopita.