Michezo

Mwakinyo avuta gari milimani, zoezi lake la mwisho kwa mfilipino anayedai kapata baraka zote za Manny Pacquiao (+video)

Bondia Mtanzania Hassan Mwakinyo kesho siku ya Jumatano anatarajia kukutana na waandishi wa habari kwa mara ya kwanza akiwa sambamba na Mpinzani wake raia wa Ufilipino, Arnel Tinampay. Mwakinyo ameonekana akifanya mazoezi mazito yakiwa sanjari na kuvuta gari kwa kulipandisha milimani huko jijini Tanga huku mpinzani wake Tinampay akidai yupo hapa nchini akiwa na baraka zote kutoka bondia mwenye umaarufu mkubwa duniani, Manny Pacquiao.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents