Michezo

Mwigulu atoa ruksa Fei Toto kuitumikia Yanga adai usajili huo ni mchango wake kwa wanajangwani

Mwigulu atoa ruksa Fei Toto kuitumikia Yanga adai usajili huo ni mchango wake kwa wanajangwani

Uongozi wa klabu ya Singida United kupitia kwa Mkurugenzi wake Festo Sanga amesema kuwa mlezi na kiongozi Mkuu wa timu hiyo Dkt Mwigulu Nchemba ametoa baraka zote kwa mchezaji wao Feisal Salum Abdallah ‘Fei Toto’ kuitumikia Yanga msimu ujao wa ligi kuu.
Dkt Nchemba ameiyandikia barua hiyo klabu ya Singida na kuhakikisha mchezaji huyo anapata ruksa yakwenda kwa mabingwa hao watetezi.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents