AFCON 2019 Tupogo!
Vodacom Data Datani!

Mzee Yusuf kuvamiwa na majambazi: Baada ya kusikia ‘paaa’ nikajua nimepigwa risasi (Video)

Aliyekuwa muimbaji wa muziki wa Taarab, Mzee Yusuf amedai kwamba muda mchache baada ya kavamiwa na majambazi siku tatu zilizopita ilipigwa baruti juu akadhani ni yeye amepigwa risasi ya kifua kumbe hakuna kitu “Nikawa najiuliza mbona sioni damu au ndio nimekufa?”

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW