Burudani

Nay wa Mitego awaumiza vichwa mashabiki kwa kauli hii

Nani kamtibua tena Nay wa Mitego? Kupitia mtandao wa Instagram rapper huyo ameandika ujumbe ambao umeonekana kuibua maswali mengi kwa mashabiki.

Kupitia mtandao huo Nay ameandika maneno mazito ambayo inaonekana amekerwa na kitendo kinachoonekana kufanywa na rafiki yake ambaye pia ni msanii japo hajamtaja jina mtu huyo.

Kutokana na ujumbe huo inaonekana kitendo hicho kilichomkera Nay kimetokanana hili jambo linaloendelea kwa sasa kati ya muziki na siasa. “1. Unatuchezea Sinema mpaka wana.?! F***k.! Njaa zitatuua.
#Wapo☝????️,” ameandika Nay katika mtandao huo.

“2. Una Sign mkataba wa kucheza Sinema yenye Quality Mbovu, Tena inayo Rekodiwa kwa Camera ya Simu.?! Unategemea nini.? Nakuvua vyeo ata Kama Mkataba ni Mnono, Itaku Cost tu na utayumbisha Career yako.!
Mwana Katoa Bokoo????????.!,” ameongeza.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents