Muziki
New Music: Amini X Ndela na Magic – Machale
Muimbaji Amini akishirikiana na wasanii wengine Ndela na Magic, wameachia wimbo wao mpya unaoitwa ‘Machale’. Ngoma hiyo imetayarishwa na Ringtone Beats. sikilize hapa chini.