Muziki
New Music: Cardi B f/ 21 Savage – Bartier Cardi
Rapper wa kike ambaye anatikisa kwa sasa kwenye muziki wa Hip Hop, Cardi B ameachia wimbo wake mpya uitwao ‘Bartier Cardi’ ambao amemshirikisha 21 Savage.