Jiunge ufaidi miezi 2 bure!

New Music: Chemical f/ Barakah The Prince & Stamina – Hello

Rapper wa kike Bongo Chemical amechia ngoma yake mpya inayoitwa ‘Hello’ ambao amemshirikisha Barakah The Prince na Stamina. Wimbo umetayarishwa kwenye studio za Kili Records.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW