Jiunge ufaidi miezi 2 bure!

New Music: Mister jay f/ Babbi – Anga la Mapenzi (lyrics)

Baada ya kampuni ya Babbi Music Entertainment kukuletea audio ya wimbo wa ‘Anga la Mapenzi’ kupitia msanii wao Mister jay, wamekuletea video ya lyrics ya wimbo huo ambao amemshirikisha Babbi. Tazama video hiyo hapa chini.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW