Burudani

New Music: Nini – Wimbo Huu

‘Wimbo Huu’ ni wimbo uliofanywa Nini, msanii mpya wa MJ Records. Utapatikana kwenye album yake ya kwanza iitwayo “Ni nini?”

“Wimbo Huu” ni mchanganyiko wa zouk na Afro pop, wenye vionjo vya “Saxophone”, na rhythm za [wani na midundo ya Kiafrika.

Kimashairi “Wimbo Huu” unazungumzia mahusiano ya mbali ya wapendanao haswa pale ambapo wimbo unapokuwa na nguvu ya kukumbusha kuhusu mwenza wako aliyepo mbali, hivyo unakufanya uusikilize kila wakati unapomkumbuka.

Umetengenezwa na kuandikwa na Daxo Chali katika studio za MJ Records.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents