Videos
New Video: Aslay – Likizo
Msanii wa Bongo Flava, Aslay ameendelea kufanya ‘bandika bandua’ katika utoaji wa ngoma na sasa ameachia video mpya ‘Likizo’, ikiwa ni wiki mbili tu zimepita tangu atoe video nyingine ‘Baby’.
By Peter Akaro