Videos
New Video: Aslay – Pusha
Wakati Alikiba na WCB wakichuana ku-trending kupitia Youtube, msani wa Bongo Flava Aslay naye ameachia tena video yake mpya ya’ Pusha’, hii imekuwa kawaida kwa msanii huyo kuachia video mfululizo kwa mwaka huu.
https://youtu.be/6kkjy47rHIo
Na Laila Sued