New Video: Joel Lwaga – Yote Mema

Msanii wa nyimbo za Injili, Joel Lwaga aliyetamba na wimbo ya ‘Sitabaki kama nilivyo’ ameachia video ya wimbo wake mpya uitwayo ‘Yote Mema’ Producer wa wimbo ni Godwin “OGGY KEYS” Emmanuel huku video ikiwa imeongozwa na Director Ivan. Itazame hapa kisha weka comment yako:

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW