Michezo

Picha: Unalifahamu hili la Neymar na Coutinho?

Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Brazil na klabu ya FC Barcelona ya Hispania, Neymar amekutana na kiungo wa Liverpool Philippe Coutinho ambao kwa sasa wapo katika timu ya taifa.

2C0A9E1F00000578-3224966-Neymar_shared_a_then_and_now_picture_with_Philippe_Coutinho_with-m-1_1441617984073
Hii ni picha waliyopiga hivi karibuni yenye pozi la picha yao ya zamani

Wawili hao waliitwa kwa mara ya kwanza katika timu ya taifa ya wakubwa ya Brazil mwaka 2010 ila Neymar ameshacheza mechi 66 na kufunga magoli 44.

2C0A9E1F00000578-3224966-image-m-3_1441618013812
Hii ni picha waliyopiga zamani wakati wakiwa timu ya vijana

Neymar na Coutinho ni marafiki tokea zamani ambapo wawili hao walipiga picha yenye pozi kama picha yao ya zamani wakati wanacheza timu ya vijana ya Brazil.

Neymar aliiweka picha hiyo katika account yake ya Instagram na kupata likes milioni moja.

231

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents