Burudani ya Michezo Live

Niliwaahidi SportPesa tutachukua Ubingwa mara 5 mfululizo, matatu tayari bado mawili (+Video)

Afisa Habari wa Mabingwa wa Nchi @simbasctanzania Haji Sunday Manara ‘Kompyuta’ ameamua kufunguka kile alichoahidi kwa Mkurugenzi wa Utawala na Udhibiti wa @tzsportpesa Tarimba Abbas msimu wa mwaka 2017 wakati walipo kuwa waki saini Mkataba na Kampuni hiyo kuwa alimuahidi kuchukua Ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara mara tano (5) mfululizo na mpaka sasa wamebakiza mawili pekee ili kutimiza ahadi yake.

Imeandikwa na Hamza Fumo

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW