Videos

Octopizzo ajichora alama ya ‘Illuminati’ jichoni kwenye video yake mpya

Octo pic

Jana rapper wa nchini Kenya, Octopizzo ameachia video ya wimbo mpya uitwao Swag. Katika video hiyo rapper huyo anaonekana kwenye jicho lake la kushoto akiwa amejichora tattoo ya alama ya Illuminati ambayo ni pembe tatu huku jicho lake likionekana kuwa ndani ya alama hiyo.

Kwa muda mrefu Octopizzo amekuwa akizushiwa kuwa mwanachama wa Illuminati lakini yeye akikana.Video hii itazua maswali mengi zaidi kuhusiana na uhusiano wake na chama hicho kinachoaminika kuwa ni cha kishetani.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents