Videos

Official trailer ya series ya BUM KUBAM ya Nikki wa Pili

Kwa mara ya kwanza Tanzania hii ni DVD, inayoungaunisha hisia za
mwana hip hop NIKKI WA PILI na msikilizaji katika namna ya mawasiliano ya moja
kwa moja, zao la wimbo Bum kubam, uzalishaji,simulizi, video, mawazo ya wengine,
mitindo huru, story ya wimbo katika vitendo na namna wimbo unavyoishi katika
maisha yetu ya kila siku.

Ni RAP, Ni Hip Hop, Ni Ukweli mtupu. Itakua mtaani hivi karibuni.

Fuatilia kupitia group ya facebook, Bum Kubam DVD au www.fichuka.com

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents