Burudani

P Diddy awatoa Fabolous na French montana katika picha waliopiga na Jay Z, Kendrick Lamar na Nas

Mwaka jana, Diddy alimkata kendall na Kylie Jenner kwenye picha aliyotumia kwenye akaunti yake ya Instagram ikimuonyesha yeye na baadhi ya mastaa.

https://www.instagram.com/p/BTqC7rFhBbq/?utm_source=ig_embed

https://www.instagram.com/p/BTvEGMOjn_K/?utm_source=ig_embed

Amefanya hivyo tena mwaka huu na wakati huu Diddy hakuwa hata kwenye picha. Alituma picha kwenye akaunti yake ya Instagram mapema wiki hii ikiwaonyesha Jay Z, Kendrick Lamar na Nas na aliandika hivi “3 Kings! 3 Great Friends! Love youguys”.

https://www.instagram.com/p/BejuPCuD77K/?taken-by=diddy

Lakini iko hivi hiyo sio picha original.Diddy amemkata rapa Fabolous na akamphotoshop French Montana kwenye picha hiyo.
https://www.instagram.com/p/Bejs47-F8rZ/?taken-by=frenchmontana

Na Raheem Rajuu

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents