Burudani

PAPASO: Sidhani kama wasanii wote wa filamu hawajatulia, mimi nimetulia – Salma Jabu (Nisha)

Muigizaji wa filamu Tanzania, Salma Jabu a.k.a Nisha amefunguka mambo mengi yanayomhusu ikiwemo filamu, mahusiano yake, tuhuma za kuwa miongoni mwa wasanii wa kike wanaosemwa kwa kuvaa nusu utupu nk. Amezungumza hayo kupitia mahojiano na kipindi cha Papaso cha TBC Fm na D’Jaro Arungu ambacho hurushwa kupitia TBC 1.

http://youtu.be/C5g42l8pKRA

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents