Picha
Photos: Peroni Night! Natural Italian Taste…..
Usiku wa jana kulikuwa na uzinduzi wa bia ya PERONI,Natural Italian Taste, iliyofanyika Mediteraniano Kawe na kuhusisha watu wa aina mbalimbali. Kulikuwa na mambo kibao kama fashion show, muziki wa vionjo ya Italia, vitu vinavyotengenezwa nchini humo na mengineo. Tazama picha za usiku huo.