Burudani

Baada ya beef yao kuisha hatimaye Chris Brown na Drake waingia studio pamoja

Baada ya beef ya rapper kutoka Toronto, Canada Drake pamoja na staa wa R&B Chris Brown ku-expire siku chache zilizopita, maendeleo ya urafiki wa mastaa hawa yameendelea kuonekana baada ya wawili hao kuonekana wakiwa studio pamoja.

Drake-and-Chris-Brown-studio

Kupitia akaunti yake ya facebook Breezy jana ameandika status kuwa yuko studio na Drake “Hanging with Drake In The Studio”. Wakati wawili hao wakipatana katika tamasha la IHeart Music chanzo kimoja kiliuambia mtandao wa page six kuwa Drake na Brown wanampango wa kuingia studio kwaajili ya kufanya kazi ya collabo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents