Picha
Picha: Cindy Rulz atease kava la single mpya aliyomshirikisha Dunga, ‘Let’s Wait’
Maproducer, Lamar na Dunga wameshirikiana kutengeneza wimbo mpya wa rapper wa kike nchini, Cindy Rulz uitwayo Let’s Wait.
Katika wimbo huo, Cindy amemshirikisha pia Dunga. Cindy ametease kava la wimbo huo utakaotoka hivi karibuni.