Picha
Picha: Jinsi Weusi walivyomtoa Mama Yeyoo Nje ya Box Maisha Club
Weusi jana walipiga show iliyopewa jina la ‘Usiku wa kumtoa Mama Yeyoo Nje ya Box’ kwenye ukumbi wa New Maisha Club jijini Dar es Salaam. G-Nako, Nikki wa Pili, Joh Makini, Lord Eyez, Peter Msechu na Damian Mihayo walikuwa miongoni mwa wasanii waliopanda jukwaani kutumbuiza. Hizi ni picha za show hiyo.