Picha

Picha: Jose Chameleone alivyoibadilisha Beach Party ndani ya Escape 1, Dar es Salaam

Msanii wa Uganda Dr Jose Chameleone jana alifanya jana show kali ya beach party iliyofanyika Escape 1 jijini Dar es Salaam. Chameleone alipewa kampani na wasanii wa THT. Hizi ni baadhi ya picha za show hiyo.

Joseph Kusaga akisalimiana na Dr Jose Chameleon.
Mkurugenzi Mtendaji wa Clouds Media Groupm Joseph Kusaga akisalimiana na Dr Jose Chameleone

Joseph Kusaga na Dr Chameleon.
Joseph Kusaga na Dr Chameleone

Kuserebuka.
Kuserebuka

Mpiga gitaa wa Band ya THT.
Mpiga gitaa wa band ya THT

Mpiga Kinanda wa Band ya THT
Mpiga Kinanda wa band ya THT

Muimbaji wa Band ya THT, ikisindikiza show ya Dr Jose Chameleon.
Waimbaji wa band ya THT, wakisindikiza show ya Dr Jose Chameleone

Mwimbaji wa Band kutoka THT akifanya manjonjo.
Mwimbaji wa band kutoka THT akifanya manjonjo

Shadee wa Clouds Tv akifanya Interview
Shadee wa Clouds TV akifanya interview

Wapenzi wa burudani wakicheza muziki.
Wapenzi wa burudani wakicheza muziki

Wapenzi wa burudani wakisubiria show kutoka kwa Chameleon.
Wapenzi wa burudani wakisubiria show kutoka kwa Chameleone ndani ya Escape1

Warembo wakitokelezea kwenye kamera ya bongo5
Warembo wakitokelezea kwenye kamera ya bongo5

Chameleon aliitaji  mrembo wa Tz ili acheze nae.
Chameleone aliitaji mrembo wa TZ ili acheze naye

Dr Chameleon akiwa kwenye ya Safari canirvore jiji Dar es salaam akifanya show
Dr Chameleone akifanya show Escape1 jijini Dar es salaam

IMG_7690


Dr Chameleon.

Dr Jose Chameleon akifanya show yake Safari Carnivore

Evans Bukuku akiwa na Jose.
Evans Bukuku akiwa na Chameleone

Hapa burudani tu.
Hapa burudani tu

IMG_7670

IMG_7692

IMG_7700

IMG_7702

IMG_7703

IMG_7706

IMG_7709

IMG_7712

IMG_7714

IMG_7721

IMG_7723

IMG_7725

IMG_7726

IMG_7727

IMG_7728

IMG_7731

IMG_7736

IMG_7741

IMG_7755

IMG_7756

Jose

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents