Picha

Picha: Kajala ajichora tattoo ya jina la Wema

By  | 

Katika kile kinachoonekana kama kuonesha shukrani zake za dhati kwa Wema Sepetu kutokana na kumtolea shilingi milioni 13 za hukumu yake siku kadhaa zilizopita, muigizaji wa filamu Kajala Masanja amejichora tattoo ya jina la Wema.

Kajala

Wema ameiweka picha hiyo kwenye akaunti yake ya Instagram na kuandika, “ Me corazon…. she calls me her hero…. I sooo much appreciate her… my friend, my sister.. I’m happy… #pureheart….. nothing but a pure heart.”

Kajala alihukumiwa kifungo cha miaka 5 mitano jela au faini ya shilingi milioni 13 zilizotolewa na Wema. Pia Wema ameshare picha za tattoo zake mpya za kichina.

3b7e57489bae11e2807c22000a9e06c7_7

ef277cd89ba011e2ad9722000a9e2977_7

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Add a comment

comments