Picha

Picha: Kendall Jenner – mrembo mwingine wa familia ya Kardashian anayekuja juu

Khourtey, Kim na Khloe Kardashian wote wana nafasi zao kwenye meza ya masupastaa nchini. Umaarufu wao akinadada hawa umetokana sana na reality TV show yao ya Keeping Up With The Kardashians, japo kwa upande wa Kim, uhusiano wake na Ray J na Kanye West ndio ulimpaisha zaidi na kuwa juu zaidi ya dada zake. Lakini, kuna mwingine tena… Kendall Jenner. Huyu ni mtoto wa ndoa ya pili ya mama yao Kim, Kris Jenner na Bruce.

Kendall Jenner models for 'Agua Bendita'

Kendall Jenner models for 'Agua Bendita'

Kendall Jenner models for 'Agua Bendita'

Kendall Jenner models for 'Agua Bendita'

Hakuna shaka kuwa, huyu naye muda ikifika, atakuwa hakosi kwenye headlines za blogs mbalimbali duniani.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents