Michezo
Picha: Mamia ya washabiki wajitokeza kumpokea Wayne Rooney Washington
Mamia ya washabiki wa klabu ya DC United wa mejitokeza hapo jana kwenye uwanja wa ndege huko Washington nchini Marekani kushuhudia ujio wa mshambuliaji wao mpya, Wayne Rooney aliyesajiliwa na timu hiyo.
Everton yamuaga rasmi Wayne Rooney ‘Kwa heri na mafanikio mema’
Rooney amejiunga na DC United inayoshiriki ligi kuu ya nchini Marekani MLS kwa kandarasi ya miaka mitatu na nusu huku ikielezwa kuwa uamisho wake umegharimu pauni milioni 12.5.