Michezo

Picha: Man United walivyorudi kinyonge baada ya kutoka sare na Sevilla kwenye Uefa

Klabu ya soka ya Manchester United wamerudi nchini Uingereza wakionekana hawana furaha sana baada ya kutoka sare na Sevilla katika mchezo uliochezwa katika uwanja wa Ramón Sánchez Pizjuán, usiku wa jana (Jumatano) kwenye kombe la klabu bingwa barani Ulaya maarufu kama Uefa.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents