Picha

Picha: Mapokezi ya Feza Kessy kwenye uwanja wa ndege JNIA, Dar

Mwakilishi wa Tanzania kwenye shindano la Big Brother Africa 2013 aka The Chase, Feza Kessy leo (Augusy 14) amepata mapokezi ya aina yake kutoka kwa ndugu, jamaa, marafiki na mashabiki wa shindano hilo alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.

Feza aliwa na mwanae pamoja na mama, full furaha.
Feza Kessy akimwangalia mwanae Jayden kwa furaha

Feza Kessy aliwasili mida ya saa 1 za jioni akitokea nchini Afrika Kusini na kupokelewa na mama yake, mwanae Jayden, dada yake Saida Kessy (Miss Tanzania 1997), kaka yake na jamaa wengine wa walio karibu yake.

Feza akikumbaliwa na kaka yake katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere
Feza akimkumbatia kaka yake katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere

Feza akimpiga jicho rafiki yake Vannesa kabla ya kukumbatiana.
Feza akimpiga jicho rafiki yake Vanessa Mdee kabla ya kukumbatiana kwa furaha

Feza akionyesha upondo kwa wapenzi waliompokea katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere
Feza akionyesha upendo kwa mashabiki waliompokea katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere

Feza akiwa amembeba mwanae Jayden na kulia ni dada wa Feza Saida Kessy
Feza akiwa amembeba mwanae Jayden na kulia ni dada yake, Saida Kessy

Feza akiwa anaelekea sehemu alikoandaliwa usafiri.
Feza akiwa anaelekea sehemu alikoandaliwa usafiri

Feza akiwa mwingi wa furaha baada ya kumuona mwanae Jayden.
Feza akiwa mwingi wa furaha baada ya kumuona mwanae Jayden

Feza akiwa na Vanesaa

Feza akiwa ndani ya gari tayari kwa safari kuanza.
Feza akiwa ndani ya gari tayari kwa safari kuanza

Feza aliwa amemkumbalia mwanae Jayden.
Feza akiwa amemkumbatia mwanae Jayden

Feza aliwa na mwanae pamoja na mama, full furaha.
Feza akiwa na mwanae pamoja na mama, full furaha

Feza na mama yake.

Feza na mama

Feza na mwanae Jayden

Feza na Vannesa wakiwa wamekumbatiana kwa furaha.
Feza na Vanessa wakiwa wamekumbatiana kwa furaha

IMG_7808

IMG_7812

IMG_7817

IMG_7823

IMG_7824

IMG_7826

Karibu Feza nyumbani Tanzania.

Kutoka kushoto ni dada wa Feza,Saida Kessy ,kaka yake Feza,mama yake Feza,bibi yake Feza na watoto kwa mbele.
Kutoka kushoto ni dada wa Feza,Saida Kessy ,kaka yake Feza,mama yake, bibi yake Feza na watoto kwa mbele

Mama Feza akiwa na Vannesa stori mbili, tatu kumsubiri mgeni.
Mama Feza akiwa na Vanessa stori mbili, tatu kumsubiri mgeni

Mbele ni mtoto wa Feza,Jayden akiwa na Sean binamu yake.
Mbele ni mtoto wa Feza,Jayden akiwa na Sean binamu yake

Mtoto wa Feza Mbele Jayden akiwa na binamu yake Sean
Mtoto wa Feza mbele, Jayden akiwa na binamu yake Sean Lyimo

Ndugu na marafiki wakiwa wanamsubiria Feza.
Ndugu na marafiki wakiwa wanamsubiria Feza

Shabiki wa Feza ambae alichuwa nafasi ya kwenda kumpokea Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere
Shabiki wa Feza ambaye alichukua nafasi ya kwenda kumpokea Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere

Tayari Feza ndani ya gari kwa kuanza safari ya kuelekea nyumbani.
Tayari Feza ndani ya gari kwa kuanza safari ya kuelekea nyumbani

Team  MultiChoice Tanzania wakimsubiri kumlaki Feza Kessy mshiriki wa BBA kutoka Tanzania.
Team MultiChoice Tanzania wakimsubiri kumlaki Feza Kessy mshiriki wa BBA kutoka Tanzania

Team MultiChoice Tanzania wakitokeleza mbele ya kamera ya bongo5
Team MultiChoice Tanzania wakitokeleza mbele ya kamera ya bongo5

Usafiri alio andaliwa kwajili ya Feza Kessy mshiriki wa BBA kutoka Tanzania.
Usafiri alioandaliwa kwajili ya Feza Kessy mshiriki wa BBA kutoka Tanzania

Vannesa akimsalimia mama wa Feza katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere
Vanessa akimsalimia mama wa Feza katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere

Vannesa kwa mbali mwenye shauku kumuona Feza akiwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere
Vanessa kwa mbali mwenye shauku kumuona Feza akiwasili

Vannesa mwenye furaha tele kumsubira rafiki yake.
Vanessa mwenye furaha tele kumsubira rafiki yake

Vannesa

Wanadada warembo kutoka MultiChoice Tanzania wakimsubiri Feza Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere
Wanadada warembo kutoka MultiChoice Tanzania wakimsubiri Feza

Wapenzi wa Feza wakimsubiri katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere
Mashabiki wa Feza wakimsubiri uwanjani hapo

Family ya  Feza kessy

Fans wa Feza wakimsubiri kwa hamu.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents