Burudani

Picha: Muonekano wa Kimnana mrembo anayedaiwa kutoka kimapenzi na Diamond!

Video vixen Kimnana ni mrembo anayedaiwa kutoka kimapenzi kwa sasa na Rais wa WCB, Diamond Platnumz ingiwa hakuna aliyewahi kuthibitisha hilo.

Wawili hao wameonekana kuwa karibu zaidi siku za usoni baada ya wiki iliyopita kuonekana wakila bata kwenye sherehe ya siku ya kuzaliwa ya Diamond iliyofanya kwenye Yatch.

Jumapili hii pia kuna video ambayo inasambaa mitandaoni ikimuonyesha Diamond akishikwa shikwa ndevu na mwanadada ambaye anadhaniwa kuwa huwenda akawa ni Kim.

Angalia picha za muonekano wa mrembo huyo. Picha hizi nimepigwa na Rommy3d pamoja na Petefarasi9.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents