Picha

Picha: Mwanamuziki wa Marekani Maya Azucena atumbuiza jijini Dar es Salaam

Ubalozi wa Marekani jana usiku uliandaa show maalum kuadhimisha siku ya wanawake duniani ambapo msanii wa Marekani Maya Azucena alitumbuiza akisindikizwa na wasanii wa Tanzania akiwemo Linah na wengine. Show hiyo iliyohudhuriwa na raia wengi wa kigeni ilifanyika kwenye kiota cha burudani cha Triniti kilichopo Oysterbay jijini Dar es Salaam.

IMG_6441

Show hiyo iliratibiwa na kampuni ya Megaparties Entertainment na kudhaminiwa na ubalozi wa Marekani.

Pamoja na kuwa mwanamuziki, Maya Azucena ni mwanaharakati wa haki za wanawake na ameshatumbuiza katika nchi kadhaa duniani kupromote uwezeshwaji kwa wanawake na wasichana na kukuza uelewa kuhusu ukatili wa kijinsia.

Bongo5 ilikuwepo kwenye burudani hiyo na hizi ni baadhi ya picha.

IMG_6432

IMG_6439

IMG_6442

IMG_6443

IMG_6444

IMG_6445

IMG_6449

IMG_6452

IMG_6453

IMG_6454

IMG_6456

IMG_6457

IMG_6460

IMG_6461

IMG_6406

IMG_6419

IMG_6422

IMG_6426

IMG_6435

IMG_6437

IMG_6470

IMG_6471

IMG_6478

IMG_6479

IMG_6481

IMG_6487

IMG_6489

IMG_6490

IMG_6494

IMG_6496

IMG_6498

IMG_6499

IMG_6500

IMG_6503

IMG_6506

IMG_6517

IMG_6521

IMG_6522

IMG_6525

IMG_6526

IMG_6528

IMG_6533

IMG_6534

IMG_6535

IMG_6540

IMG_6541

IMG_6544

IMG_6546

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents