Promotion

Picha: Nay wa Mitego, Roma na Madee wanogesha tamasha la Airtel Yatosha Rock City

Katika muendelezo wa burudani unaoandaliwa na Airtel, weekend hii wakazi wa Mwanza wamelishuhudia joto la tamasha la Airtel Yatosha kwa siku mbili mfululizo katika viwanja vya Furanisha ambap Nay wa Mitego, Roma na Madee walishusha fire. Hizi ni baadhi ya picha za tamasha hilo.

Shabiki wa Ney wa mitego akiwa amechora picha ya fuvu kuonyesha Ney anatisha, katika tamasha la Airtel yatosha jijini Mwanza.

Watoa huduma wa Airtel wakiwaudumia wateja wao katika tamasha la Airtel yatosha jijini Mwanza.

Msanii wa Hip Hop Roma mkatoliki akiwaburudisha mashabiki wake katika tamasha la Airtel yatosha jijini Mwanza.

Mashabiki wa muziki wa jijini Mwanza wakiwa wamejitokeza kwenye tamasha la Airtel yatosha huku wakipata burudani kutoka kwa wasanii wa Hip Hop Ney wamitego na Roma

Mashabiki wa muziki wa bongo fleva wakipata burudani katika tamasha la Airtel yatosha jijini Mwanza.

Mwana Hip Hop kutoka jijini Mwanza Dogo D akifanya makamuzi katika tamasha la Airtel yatosha jijini Mwanza.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents