Promotion

Picha: NMB yadhamini wiki ya Huduma za Kifedha na Uwekezaji

guadin
Afisa wa Benki ya NMB Curthbert Zimbwe akiwaelezea Wajasiriamali  jinsi ya kupata mikopo midogo midogo kutoka NMB.  Wajasiriamali wanaohudhuria mafunzo mbali mbali ya siku tatu Kwenye viwanja vya Mnazi mmoja  kutoka kwa wadau tofauti NMB ikiwa miongoni mwa wadau  na wafadhili wakubwa wa mafunzo hayo

jambo leo
Afisa wa Benki ya NMB Abdul Kandoro akiwaonyesha wajasiriamali  kadi ya Benki ambayo mteja anaipata papo hapo kwa kufungua akaunti ya Chap Chap. Wajasiriamali  wanaohudhuria mafunzo mbali mbali ya siku tatu Kwenye viwanja vya Mnazi mmoja  kutoka kwa wadau tofauti NMB ikiwa miongoni mwa wadau  na wafadhili wakubwa wa mafunzo hayo

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents