Picha

Picha: Rais Kikwete afunga semina ya fursa awamu ya kwanza Dar

Rais Jakaya Kitwete leo alikuwa mgeni rasmi kwenye ufungaji wa semina ya fursa kwa awamu ya kwanza, iliyofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee, jijini Dar es salaam.

Dr Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na wananchi waliojitokeza kwenye ufungaji wa semina ya fursa kwa hawamu ya kwanza.
Rais Kikwete akizungumza na wananchi waliojitokeza kwenye ufungaji wa semina ya fursa awamu ya kwanza

a href=”http://bongo5.com/wp-content/uploads/2013/11/Mwimbaji-wa-mashairi-nchini-Mrisho-Mpoto-akisalimiana-na-Dr-Jakaya-Kikwete..jpg”>Mwimbaji wa mashairi nchini Mrisho Mpoto akisalimiana na Dr Jakaya Kikwete.
Mrisho Mpoto akisalimiana na Rais Jakaya Kikwete

Rais Kikwete amelipongeza jopo zima lililoshiriki kuandaa semina za fursa nchini kwa kuwahamasisha Watanzania kufanya shughuli za kilimo na kujiajiri, huku akiwataka Watanzania kujikita zaidi kwenye kilimo kwakuwa ndio sehemu inayoweza kuajiri Watanzania kwa wingi.

Semina ya fursa imezunguka katika mikoa 17 kwa nia ya kuwafungua Watanzania na kuonyesha fursa zinazopatikana katika maeneo waliopo. Awamu ya pili itaonyesha kwa vitendo jinsi ya kuzitumia fursa hizo.

Mkuu wa Wilaya ya Ilamba Mh. Nawanda Yahaya
Mkuu wa Wilaya ya Iramba Nawanda Yahaya

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Nasib Abdul aka Diamond Platinum.
Diamond Platnumz alikuwepo pia kushuhudia ufungaji wa semina hiyo

IMG_3601
Diamond akipeana mkono na January Makamba

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Nick wa pili akiongea katika semina ya fursa.
Nick wa pili akiongea katika semina ya fursa

Ndugu wa Diamond platinum ,Rome
Romeo

Wakazi wa jiji la Dar es salaam walijitokeza kwenye semina ya fursa.
Wakazi wa jiji la Dar es salaam walijitokeza kwenye semina ya fursa

Wakazi wa jijini la Dar es salaam wakifuatilia semina ya fursa.
Wakazi wa jijini la Dar es salaam wakifuatilia semina ya fursa

Watanzania waliojitokeza katika semina ya fursa.
Watanzania waliojitokeza katika semina ya fursa

Dr Jakaya Kikwete akiteta jambo na Shaffii Dauda
Rais Kikwete akiteta jambo na mtangazaji wa Clouds FM, Shaffii Dauda

Joseph Kusaga akiteta jambo na Dr Jakaya Kikwete.
Joseph Kusaga akiteta jambo na Rais Kikwete

Kulia ni mmoja wa waanzilishi wa mtandao wa Jamii forum .
Kulia ni mmoja wa waanzilishi wa mtandao wa Jamii Forums

Mkurugenzi wa Couds FM Ruge Mutahaba akizungumza na wakazi wa jiji la Dar es salaam .
Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba akizungumza na wakazi wa jiji la Dar es salaam

Mkurugenzi Wa Clouds FM Ruge Mutahaba.
Ruge Mutahaba

Mkurugenzi wa Clouds Media Group, Joseph Kusaga akizungumza.
Mkurugenzi wa Clouds Media Group, Joseph Kusaga akizungumza kwenye semina hiyo

ref=”http://bongo5.com/wp-content/uploads/2013/11/Mkuu-wa-wilaya-wa-chamwino-Fatuma-Ally.jpg”>Mkuu wa wilaya wa chamwino Fatuma Ally
Mkuu wa wilaya wa Chamwino, Dodoma Fatuma Ally

Mkuu wa Wilaya ya Igunga mkoani Tabora, Elibariki Kingu.
Mkuu wa Wilaya ya Igunga mkoani Tabora, Elibariki Kingu

Dr Jakaya Kikwete akiwa na January Makamba.
Dr Jakaya Kikwete akiwa na January Makamba

Dr Jakaya Kikweti akipanda katika meza kuu.
Rais Kikwete akipanda katika meza kuu punde baada ya kuwasili ukumbini

Dr Jakaya Kitwete akiwa katika picha ya pamoja na waandaji na wasemaji wakuu wa semina hiyo ambayo kwa awamu ya kwanza imeitimishwa leo.
Rias Kitwete akiwa katika picha ya pamoja na waandaji na wasemaji wakuu wa semina hiyo ambayo kwa awamu ya kwanza imeitimishwa leo

Dr Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mkono na Nick ya Pili baada ya kumaliza kufunga kwa awamu ya kwanza ya semina ya fursa iliyofanyika katika ukumbi Diamond Jubilee Jijini Dar es salaam.
Dr Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mkono na Nick ya Pili baada ya kumaliza kufunga kwa awamu ya kwanza ya semina ya fursa iliyofanyika katika ukumbi Diamond Jubilee Jijini Dar es salaam

Dr Jakaya Kikwete akielekea kupanda gari baada ya kumalizika semina ya fursa.
Rais Kikwete akielekea kupanda gari baada ya kumalizika semina ya fursa

IMG_3516

IMG_3540

IMG_3542

IMG_3552

IMG_3568

IMG_3571

IMG_3575

IMG_3576

IMG_3587

IMG_3591

IMG_3592

IMG_3593

IMG_3594

IMG_3595

IMG_3601

IMG_3602

IMG_3605

IMG_3610

IMG_3616

IMG_3619

IMG_3622

IMG_3626

IMG_3627

IMG_3631

IMG_3642

Tafakari kauli   ya msanii Chege katika picha.
Tafakari kauli ya msanii Chege katika picha

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents