Picha
Picha: Range Rover Sports mpya yazinduliwa, ni ndefu na nyepesi na ina siti 7
Range Rover Sport mpya imezinduliwa wiki hii jijini New York Marekani. Gari hii ni nyepesi kiasi kuliko iliyopo sasa na ina siti saba kwa mara ya kwanza.
Hii ya sasa ina urefu wa 485cm ambapo imeizidi Range Rover Sport ya zamani kwa urefu wa 6cm.Jionee picha za mkoko huu wa nguvu.