Michezo

Picha: Real Madrid wakwea pipa kuifuata Bayern Munich 

Kikosi cha Real Madrid kikiwa na nyota wake Cristiano Ronaldo kimekwea pipa hii leo siku Jumanne kuelekea Munich kwaajili ya mchezo wake wa klabu bingwa barani Ulaya.

Vijana hao wa Zinedine Zidane watawakabili Bayern Munich kwenye mchezo wa nusu fainali ya klabu bingwa barani Ulaya unaotarajiwa kupigwa hapo kesho siku ya Jumatano.

The trio pose on board the plane shortly ahead of their flight to Munich on Tuesday morning 

Ronaldo akiwaongoza wachezaji wenzake wameonekana wakiwa wamevalia ‘suite’ nyakati za asubuhi wakielekea ndani ya ndege tayari kutua Ujerumani.

Zinedine Zidane akiwa na kikosi cha wachezaji 24 wameelekea Allianz Arena wakiwa sambamba na rais wao, Florentino Perez.
Real Madrid have flown to face Bayern Munich, who were busy training on Tuesday morning
Wakati Real Madrid ikikwea pipa, wapinzani wao timu ya Bayern Munich asubuhi ya leo imekuwa bize na mazoezi.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents