Michezo

Picha: Robin van Persie atua Uturuki kujiunga na klabu ya Fenerbache

Hatimaye maisha Mshambuliaji Robin van Persie ndani ya klabu ya Manchester United yamekwisha baada ya kutua Uturuki kukamilisha uhamisho wake wa kujiunga na klabu ya Fenerbache ambapo ataungana na Luis Nani.

vanpasi2
Akilakiwa na halaiki ya mashabiki wa Fenerbache

Van Persie mwenye umri wa miaka 31 alionekana akitabasamu muda wote na mwenye furaha alipotua kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Sabhia Gokcen jijini Istanbul siku ya Jumapili mchana.

vanpasi3
Mashabiki wa Fenerbache wakifurahia

vanpasi6
RVP akiwa na familia yake

vanpasi1
Robin van Persie atakuwa analipwa pauni 240,000 kwa wiki

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents