Burudani

Kijana wa Kisarawe awezeshwa kufikia ndoto zake kupitia Airtel Fursa “Tunakuwezesha”

Tazama video hii kuona jinsi gani Airtel Fursa imemuwezesha kijana Mohamed mkazi wa Kisarawe kupata mafunzo ya biashara pamoja na kumkabidhi banda jipya lenye kuku wa kenyeji 200 kuweza kufikia ndoto zake! Airtel Fursa “Tunakuwezesha”

Airtel Fursa ni mradi wa kijamii wenye dhumuni la kuhamasisha vijana, kuwapa nafasi ya kujiendeleza kibiashara na ujuzi utakoawawezesha kuimarisha biashara zao.

Bofya hapa: goo.gl/ECdVkc na wewe ukamate fursa na Airtel

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents