Picha

Picha: Safari ya Kala Jeremiah kuelekea Morogoro kukabidhi tuzo yake kwa mama yake Mangwair

Mshindi wa tuzo tatu za KTMA 2013, Kala Jeremiah, leo ameelekea mjini Morogoro kwenda kuikabidhi tuzo yake msanii bora wa Hip Hop kama alivyoahidi: Kala Jeremiah atangaza kumpata marehemu Ngwair tuzo ya msanii bora wa Hip Hop, ataipeleka Morogoro.

DSCN3437
Kala akiwa ameshika tuzo anayokwenda kumkabidhi mama yake Mangwair

Hizi ni baadhi ya picha hizo. Mwandishi wetu Yasin Ngitu yupo pamoja kwenye msafara huo unaongozwa na Kala, washkaji zake na waandishi wengine wa habari.

DSCN3428

DSCN3429

DSCN3430

DSCN3431

DSCN3432

DSCN3433

DSCN3434

DSCN3435

DSCN3437

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents