Kama sio DStv potezea
TECNO Spark 2

Michezo

Picha: Serena Williams amuonyesha mtoto wake kwa mara ya kwanza

By  | 

Serena Williams ameamua kumuonyesha mtoto wake wa kike kwa mara ya kwanza.

Bingwa huyo wa mchezo wa tennis, amemuonyesha mtoto wake huyo aliyezaliwa wiki mbili zilizopita na kumpatia jina la Alexis Olympia Ohanian Jr kupitia mtandao wa Instagram.

“Meet Alexis Olympia Ohanian Jr. You have to check out link in bio for her amazing journey. Also check out my IG stories ??❤️❤️,” ameandika kwenye picha hiyo.


Serena Williams akiwa na mzazi mwenzake Alexis Ohanian

Serena amempatia mtoto wake huyo jina hilo kutoka kwa baba yake anayefahamika kama Alexis Ohanian ambaye pia ni mwanzilishi wa mtandao wa Reddit.

Loading...

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Comments

Bongo5

FREE
VIEW