Picha: Spider-Man amvamia Roger Federer Australia Open

Mchezaji tennis, Roger Federe wala hakushangazwa pale alipokuwa uwanjani na ghafla akatakiwa kucheza na Spider-Man , Superhuman na Milos Raonic ambao kwa umoja wao walijenga umoja wa Superheroes katika siku ya watoto ‘Kids Day’ iliyokuwa ikiendelea Australia Open.

Mchezaji Tennis, Roger Federer akiwa na muigizaji filam wa Marvel, superhero Spider-Man leo siku ya Jumamosi

Mastaa wawili kutokea Marvel heroes, Spider-Man na Thor walipata nafasi ya kuonyesha ujuzi wao katika kipindi hicho ambacho watu ambalimbali walijumuika na familia zao na marafiki.

Norse God Thor akionekana kuchanganyikiwa akiwa na Milos Raonic katika siku ya ‘Kids Day’ huko Melbourne

Upande wa Federer akiwa na Spider-Man kama vile Raonic kwa upande wake akiwa na Norse God Thor.

Caroline Wozniacki na Novak Djokovic pia walijumuika katika shukhuli hiyo iliyofanyika Jumamosi hii huko Melbourne.

Caroline Wozniacki na Novak Djokovic pia wakiwa wametokea katika tukio hilo

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW