Burudani

Picha: Tamasha la “One Love Manchester” lilivyofanyika Jumapili hii

Ariena Grande Jumapili hii ya Juni 4 amefanya tamasha la kuwakumbuka wahanga wa shambulio la mlipuko lililotokea mjini Manchester, Mei 22 katika show yake ya “Dangerous Woman World” na kusababisha vifo vya watu 22 na wengine zaidi ya 50 kujeruhiwa.

Tamasha hilo la kuwakumbuka wahanga hao lilipewa jina la “One Love Manchester” ambalo limefanyika katika uwanja wa Emirates Old Trafford Cricket mjni humo. Mastaa wengine waliowasha moto katika tamasha hilo ni Katy Perry, Pharrell Williams, Justin Bieber, Coldplay, Usher, The Black Eyed Peas, Robbie Williams, Little Mix na Niall Horan kutoka kundi la One Direction.

Hizi ni baadhi ya picha nyingine za tamasha hilo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents