Picha

Picha: Wakazi wa Chalinze walionja joto la ‘Airtel Yatosha’

Wakazi wa mji wa Chalinze jana walipata fursa ya kipekee kuwashuhudia wasanii mbalimbali wakitumbuiza jukwaani, kwa hisani ya promosheni ya ‘Airtel Yatosha’. Tazama picha za promosheni hiyo.

9

Watoa huduma wa airtel wakiendelea kuwahudumia wakazi wa Chalinze
Watoa huduma wa airtel wakiendelea kuwahudumia wakazi wa Chalinze
Msanii Juma nature akitoa burudani kwa wakazi wa chalinze.
Msanii Juma nature akitoa burudani kwa wakazi wa chalinze.
Meneger mahusiano wa airtel Tanzania alimsikiliza mkazi wa Chalinze namna ya kujiunga na kuitumia huduma mpya ya  aitrel yatosha.
Meneger mahusiano wa airtel Tanzania alimsikiliza mkazi wa Chalinze namna ya kujiunga na kuitumia huduma mpya ya aitrel yatosha.

8

4

Msanii wa muziki wa Hip Hop Fid Q na Meneger wa mauzo wa kampuni ya simu za mkononi ya airtel Kanda ya Pwani wakimkabithi mkazi wa chalinze zawadi.
Msanii wa muziki wa Hip Hop Fid Q na Meneja wa mauzo wa kampuni ya simu za mkononi ya airtel Kanda ya Pwani wakimkabithi mkazi wa chalinze zawadi.

Picha kwa hisani ya http://michuzijr.blogspot.com/

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents