Habari

Picha ya Justin Bieber akiwa na Will Smith ndiyo picha ya Instagram yenye likes nyingi zaidi (milioni 1.5) 2013

Katika Picha zote zilizowekwa na zaidi ya watumiaji milioni 150 wa Instagram duniani mwaka huu (2013), picha ya mwimbaji wa Canada Justin Bieber (19) mwenye followers milioni 12, akiwa na muigizaji Will Smith ndiyo imekamata nafasi ya kwanza ‘most liked photo-2013’ kwa kupata likes 1,496,070, picha hiyo iliwekwa miezi mine iliyopita.

bieber n smith
Hii ndiyo picha iliyopata likes nyingi Instagram 2013

CEO wa Instagram Kevin Systrom, jana Ijumaa alitaja picha zilizopata likes nyingi zaidi, pamoja na ‘The most Instagrammed locations, cities’ na hashtags za 2013.

Bangkok
The Siam Paragon shopping mall ya Bangkok, Thailand ndiyo ‘The most Instagrammed location of 2013’

Shopping mall ya Siam Paragon, iliyoko Bangkok, Thailand ndiyo imekuwa ya kwanza katika ‘The Most-Instagrammed locations’, ikifuatiwa na Time Square ya New York, Marekani.

Time Square
Time Square, ya New York

#Love ndio imekuwa hashtag ya 2013 kwa Instagram.

Love

Watumiaji wa Instagram hupost picha zipatazo milioni 55 kwa siku.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents