Polepole: Tuthamini na kuheshimu mchango wa Wanawake, wao ndiyo wapiga kura wakubwa nchi (+ Video)

“Tunathamini na kuheshimu mchango wa Wanawake wote Tanzania, nitoe Rai kwa Vyama vingine vya siasa hapa Tanzania kufahamu tunapokwenda kwenye Uchaguzi washindi huwa Watanzania lakini nafasi muhimu ya Wanawake inapaswa kupewa heshima kubwa kwa sababu ya mchango mkubwa wameufanya ikiwemo wao kuwa ndiyo wapiga Kura wakubwa katika nchi yetu ya Tanzania” – Humphrey Polepole, Katibu wa NEC.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW