Pombe za bure za nywika kwa mamia ya mashabiki wa Croatia, ofa ya Mario Mandzukic  (+Picha)

Straika wa Croatia, Mario Mandzukic ametumia jumla ya pauni 3,000 kuwanunulia pombe mashabiki wa timu hiyo ambayo ipo kwenye michuano ya kombe la dunia.

Croatia fans in Slavonski Brod enjoyed free beers thanks to star striker Mario Mandzukic

Mandzukic alitumia kiasi hicho cha fedha kuwanunulia pombe mashabiki wa Croatia ambao wapo kwenye mji aliyotoka mchezaji huyo wakati wa mechi yao ya robo fainali dhidi ya Urusi na kushinda kwa mikwaju ya penati.

The forward accumulated a bar bill of £3,000 so fans in his home town could enjoy free beers

Kwa mujibu wa chombo cha Croatia news site 24Sata kimesema kuwa nyota huyo mwenye umri wa miaka 32 anayekipiga kwenye klabu ya Juventus amewalipia zaidi ya maelfu ya mashabiki pombe kushudia mchezo huo kupitia Tv kubwa inayopatikana Brod Fortress.

Mandzukic and Co fought hard against Russia to earn a semi-final date with England next

The striker is a hero in his hometown and will hope to return with the World Cup trophy

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW