Michezo

Rais wa TFF, Wallace Karia afanya uteuzi wa kamati ya tuzo

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania ‘TFF’, Wallace Karia ameteua Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu Bara ambayo itakuwa inachagua wachezaji bora wa mwezi, bao bora, mwamuzi bora, kocha, kipa bora na mchezaji bora wa msimu.

Kamati ya Karia aliyoiteuliwa ni kama ifuatayo

MWENYEKITI
Msafiri Mgoyi

Makamu Mwenyekiti

Almas Kasongo

KATIBU MKUU
Amiri Mhando

WAJUMBE
Saleh Ally
Patrick Kahemele
Kenny Mwaisabula
Ibrahim Masoud
Fatma Likwata
Gift Macha
Said George
Zena Chande

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents